Babu Owino Yu Huru Baada Ya Mahakama Kumuondolea Mashtaka Katika Kesi Ya DJ Evolve

12 просмотров 14.12.2021 00:00:41

Описание

Mbunge Wa Embakasi Mashariki Babu Owino Ameondolewa Mashtaka Katika Kesi Ambayo Alishtakiwa Kwa Jaribio La Kumuua Felix Orinda, Almaarufu Dj Evolve.Hii Ni Baada Ya Mahakama Kuruhusu Kuondolewa Kwa Kesi Hiyo Na DJ Evolve.

Комментарии

Теги:
Babu, Owino, Huru, Baada, Mahakama, Kumuondolea, Mashtaka, Katika, Kesi, Evolve