Mwanamke Adai Haki Baada Ya Kumwagiwa Asidi Usoni

30 просмотров 01.08.2021 00:03:06

Описание

Mwanamke Mmoja Kutoka Mji Wa Thika Kaunti Ya Kiambu Analilia Haki Yake Baada Ya Kumwagiwa Na Asidi Usoni Mwake Na Kumuacha Kipofu, Alipokuwa Akihudhuria Sherehe Ya Kuzaliwa Kwa Mtoto Wa Rafiki Yake. Alice Njeri, 32 Amedai Kuwa Alimwagiwa Asidi Na Mwendani Wake Aliyekuwa Anashuku Alikuwa Na Uhusiano Wa Kimapenzi Na Bwanake. Alice Anataka Haki Itimike Na Anaomba Uhisani Kutoka Kwa Wasamaria Wema.

Комментарии

Теги:
Mwanamke, Adai, Haki, Baada, Kumwagiwa, Asidi, Usoni